Yote yataachiwa ndege milimani,na wanyama wengine wa porini.Ndege walao nyama watakaa humowakati wa majira ya kiangazi,na wanyama wa porini watafanya makao humowakati wa majira ya baridi.”