Isaya 18:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Maana, kabla ya mavuno,wakati wa kuchanua umekwisha,maua yamepukutika na kuwa zabibu mbivu,Mungu atakata chipukizi kwa kisu cha kupogolea,na kuyakwanyua matawi yanayotanda.

Isaya 18

Isaya 18:2-7