Isaya 16:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Kama ndege wanavyohangaika na kurukaruka,wakiwa wamefukuzwa kutoka viota vyao,ndivyo walivyo mabinti wa Moabukwenye vivuko vya Arnoni.

Isaya 16

Isaya 16:1-3