Isaya 16:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Wamoabu wanawaambia watu wa Yuda,“Tupeni mwongozo, tuamulieni.Enezeni ulinzi wenu juu yetu,kama vile usiku uenezavyo kivuli chake.Tuficheni sisi wakimbizi;msitusaliti sisi tuliofukuzwa.

Isaya 16

Isaya 16:1-12