Moyo wangu unasononeka juu ya nchi ya Moabu;wakimbizi wake wanakimbilia Soari,wanakimbia mpaka Eglath-shelishiya.Wanapanda njia ya kwenda Luhithi wakilia,njiani kwenda Horonaimu wanatoa kilio cha maangamizi.