Kijito cha Nimrimu kimekauka;nyasi zimekauka, majani mabichi yamenyauka,hakuna chochote kinachoota hapo.