Isaya 14:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Piga yowe ewe lango; lia ewe mji;yeyuka kwa hofu ewe nchi yote ya Filistia.Maana moshi wa askari waja kutoka kaskazini,wala hakuna atakayechelewa katika majeshi yake.”

Isaya 14

Isaya 14:21-32