Isaya 14:30 Biblia Habari Njema (BHN)

Wazaliwa wa kwanza wa maskini watashiba,na fukara watakaa kwa usalama.Lakini chipukizi wenu nitawaua kwa njaa;na yeyote wenu atakayebaki nitamuua.

Isaya 14

Isaya 14:26-32