Isaya 11:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu atakausha ghuba ya bahari ya Shamu,kwa pumzi yake ichomayo atakausha mto Eufrate,nao utagawanyika katika vijito saba,watu wavuke humo miguu mikavu.

Isaya 11

Isaya 11:14-16