Isaya 11:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Tena, kutakuwa na barabara kuu toka Ashurukwa ajili ya watu wake waliobaki humokama ilivyokuwa kwa Waisraeliwakati walipotoka nchini Misri.

Isaya 11

Isaya 11:6-16