Isaya 11:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Wote pamoja watawavamia Wafilisti walio magharibi,pamoja watawapora watu wakaao mashariki.Watawashinda Waedomu na Wamoabu,nao Waamoni watawatii.

Isaya 11

Isaya 11:7-16