Enyi watu wa Efraimu,mna haja gani tena na sanamu?Mimi ndiye ninayesikiliza sala zenu,mimi ndiye ninayewatunzeni.Mimi nitawapa kivuli kama mberoshi,kutoka kwangu mtapata matunda yenu.