Hosea 14:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Yeyote aliye na hekima ayaelewe mambo haya,mtu aliye na busara ayatambue.Maana njia za Mwenyezi-Mungu ni nyofu;watu wanyofu huzifuata,lakini wakosefu hujikwaa humo.”

Hosea 14

Hosea 14:2-9