“Hata kama Efraimu atastawi kama nyasi,mimi Mwenyezi-Mungu nitavumisha upepo wa mashariki,upepo utakaozuka huko jangwani,navyo visima vyake vitakwisha maji,chemchemi zake zitakauka.Hazina zake zote za thamani zitanyakuliwa.”