Yanibidi kuwakomboa hawa watu kutoka kuzimu;sharti niwaokoe kutoka kifoni!Ewe Kifo, yako wapi maafa yako?Ewe Kuzimu, yako wapi maangamizi yako?Mimi sitawaonea tena huruma!