Hosea 13:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wa Samaria wataadhibiwa kwa kosa lao.Kwa sababu wamemwasi Mungu wao.Watauawa kwa upanga,vitoto vyao vitapondwapondwa,na kina mama wajawazito watatumbuliwa.

Hosea 13

Hosea 13:12-16