Hosea 10:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini nyinyi mmepanda uovu,nyinyi mmevuna dhuluma;mmekula matunda ya uongo wenu.Wewe Israeli ulitegemea nguvu zako mwenyewe,na wingi wa askari wako.

Hosea 10

Hosea 10:5-15