Hosea 10:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo msukosuko wa vita utawajia watu wako;ngome zako zote zitaharibiwa,kama Shalmani alivyoharibu Beth-arbeli vitani,kina mama wakapondwa pamoja na watoto wao.

Hosea 10

Hosea 10:8-15