Hosea 10:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Pandeni wema kwa faida yenu,nanyi mtavuna upendo;limeni mashamba yaliyoachwa,maana wakati wa kunitafuta mimi Bwana umefikanami nitawanyeshea baraka.

Hosea 10

Hosea 10:3-13