Hosea 10:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Efraimu ni ndama aliyefundishwa vizuri,akapenda kupura nafaka.Lakini sasa shingo yake nzuri nitaifunga nira.Yuda atalima kwa jembe yeye mwenyewe,naam, Yakobo atakokota jembe la kupalilia.

Hosea 10

Hosea 10:2-15