Hosea 10:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitawajia watu hawa wapotovu na kuwaadhibu;watu wa mataifa watakusanyika kuwashambulia,watakapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zao nyingi.

Hosea 10

Hosea 10:7-15