Hesabu 36:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakasema, “Bwana wetu, Mwenyezi-Mungu alikuamuru kuwagawia watu wa Israeli nchi kwa kura, kuwa urithi wao; alikuamuru pia uwape binti za Selofehadi ndugu yetu urithi wa baba yao.

Hesabu 36

Hesabu 36:1-3