Amosi 9:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Wajapojichimbia njia ya kwenda kuzimu,huko nitawachukua kwa mkono wangu;wajapopanda mbinguni,nitawaporomosha chini.

Amosi 9

Amosi 9:1-4