Amosi 9:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Wajapojificha juu ya mlima Karmeli,huko nitawasaka na kuwachukua;wajapojificha mbali nami vilindini mwa bahari,humo nitaliamuru joka la baharini liwaume.

Amosi 9

Amosi 9:2-11