Amosi 8:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Bwana Mwenyezi-Mungu asema,“Siku zaja ambapo nitaleta njaa nchini.Lakini sio njaa na kiu ya chakula na maji,bali njaa ya kusikia maneno ya Mwenyezi-Mungu.

Amosi 8

Amosi 8:6-14