Amosi 8:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu watatangatanga kutoka bahari hata bahari,kutoka upande wa kaskazini mpaka mashariki.Watakimbia huko na huko wakitafuta neno la Mwenyezi-Mungu,lakini hawatalipata.

Amosi 8

Amosi 8:9-14