Amosi 8:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Sherehe zenu nitazigeuza kuwa kilio,na nyimbo zenu za furaha kuwa maombolezo.Nitawafanya nyote mvae magunia kwa huzunina kunyoa vipara vichwa vyenu,kama kuomboleza kifo cha mtoto wa pekee;na siku ya mwisho itakuwa ya uchungu mkubwa.”

Amosi 8

Amosi 8:1-12