Siku nitakapowaadhibu Waisraelikwa sababu ya makosa yao,nitayaharibu pia madhabahu ya mji wa Betheli.Nitazikata pembe za kila madhabahuna kuziangusha chini.