Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Watu hawa wameyajaza majumba yaovitu vya wizi na unyang'anyi.Hawajui kabisa kutenda yaliyo sawa!