Amosi 3:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Tangazeni katika ikulu za Ashdodi,na katika ikulu za nchi ya Misri:“Kusanyikeni kwenye milimainayoizunguka nchi ya Samaria,mkajionee msukosuko mkubwana dhuluma zinazofanyika humo.”

Amosi 3

Amosi 3:7-15