Amosi 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Huwanyanyasa na kuwakandamiza wanyonge,na maskini huwabagua wasipate haki zao.Mtu na baba yake hulala na mjakazi yuleyule,hivyo hulitia unajisi jina langu takatifu.

Amosi 2

Amosi 2:1-16