Amosi 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Popote penye madhabahu,watu hulalia nguo walizotwaa kwa maskinikama dhamana ya madeni yao;na katika nyumba ya Mungu waohunywa divai waliyotwaa kwa wadeni wao.

Amosi 2

Amosi 2:1-12