Amosi 2:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Waisraeli wametenda dhambi tena na tena,kwa hiyo sitaacha kuwaadhibu.Wamewauza watu waaminifukwa kuwa hawakuweza kulipa madeni yao;na kuwauza watu fukarawasioweza kulipa deni la kandambili.

Amosi 2

Amosi 2:4-9