Basi, nitazishushia moto kuta za mji wa Raba,na kuziteketeza kabisa ngome zake.Siku hiyo ya vita patakuwa na makelele mengi,nayo mapambano yatakuwa makali kama tufani.