Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Watu wa Amoni wametenda dhambi tena na tena,kwa hiyo sitaacha kuwaadhibu.Katika vita vyao vya kupora nchi zaidi,waliwatumbua wanawake waja wazito nchini Gileadi.