2 Samueli 18:26 Biblia Habari Njema (BHN)

Mlinzi akamwona mtu mwingine anakimbia, akaita tena langoni akisema, “Tazama, mtu mwingine anakimbia peke yake!” Mfalme akasema, “Naye analeta habari.”

2 Samueli 18

2 Samueli 18:25-32