2 Samueli 10:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Daudi alipopata habari, aliwakusanya pamoja Waisraeli wote, akavuka mto Yordani na kwenda mpaka Helamu. Nao Waaramu walijipanga tayari kwa vita dhidi ya Daudi, wakaanza kupigana naye.

2 Samueli 10

2 Samueli 10:16-19