1 Samueli 28:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati huu, Samueli alikuwa amekwisha fariki, na Waisraeli wote walikuwa wamekwisha mwombolezea na kumzika katika mji wake Rama. Shauli alikuwa amewafukuza kutoka nchini watabiri na wachawi.

1 Samueli 28

1 Samueli 28:1-7