Mradi atanisitiri bandani mwake siku ya mabaya,Atanisitiri katika sitara ya hema yake,Na kuniinua juu ya mwamba.