Neno Moja nimelitaka kwa BWANA,Nalo ndilo nitakalolitafuta,Nikae nyumbani mwa BWANASiku zote za maisha yangu,Niutazame uzuri wa BWANA,Na kutafakari hekaluni mwake.