Siti msharifu, jinsi zilivyo nzuriHatua zako katika mitalawanda.Mapaja yako ya mviringo ni kama johari,Kazi ya mikono ya fundi mstadi;