Omb. 3:1-4 Swahili Union Version (SUV) Mimi ni mtu aliyeona matesoKwa fimbo ya ghadhabu yake. Ameniongoza na kuniendesha katika gizaWala si katika nuru.