Omb. 2:22 Swahili Union Version (SUV)

Umeziita kama katika siku ya mkutano wa makini;Hofu zangu zije pande zote;Wala hapana hata mmoja aliyepona wala kusaliaKatika siku ya hasira ya BWANA;Hao niliowabeba na kuwaleaHuyo adui yangu amewakomesha.

Omb. 2

Omb. 2:13-22