Amka, amka, jivike nguvu zako, Ee Sayuni;Jivike mavazi yako mazuri,Ee Yerusalemu, mji mtakatifu;Kwa maana tokea sasa hataingia ndani yakoAsiyetahiriwa, wala aliye najisi.