2 Nya. 29:1 Swahili Union Version (SUV)

Hezekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka ishirini na kenda; na jina la mamaye aliitwa Abiya binti Zekaria.

2 Nya. 29

2 Nya. 29:1-2