Zekaria 9:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Mimi mwenyewe nitailinda nchi yangu,nitazuia majeshi yasipitepite humo.Hakuna mtu atakayewadhulumu tena watu wangu,maana, kwa macho yangu mwenyewe,nimeona jinsi walivyoteseka.”

Zekaria 9

Zekaria 9:1-17