Zekaria 9:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitawakomesha kula nyama yenye damu,na chakula ambacho ni chukizo.Mabaki watakuwa mali yangu,kama ukoo mmoja katika Yuda.Watu wa Ekroni watakuwa kama Wayebusi.

Zekaria 9

Zekaria 9:1-16