Zekaria 8:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtu yeyote miongoni mwenu asikusudie kutenda uovu dhidi ya mwenzake, wala msiape uongo, maana nayachukia sana matendo hayo. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Zekaria 8

Zekaria 8:15-18