Zaburi 31:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Nimekuwa dharau kwa maadui zangu wote;kioja kwa majirani zangu.Rafiki zangu waniona kuwa kitisho;wanionapo njiani hunikimbia.

Zaburi 31

Zaburi 31:5-15