Zaburi 31:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Maisha yangu yamekwisha kwa majonzi;naam, miaka yangu kwa kulalamika.Nguvu zangu zimeniishia kwa kutaabika;hata mifupa yangu imekauka.

Zaburi 31

Zaburi 31:8-11